UKIJIZOEZA TABIA HIZI KUMI, NI NGUMU SANA KUZIACHA

UKIJIZOEZA TABIA HIZI KUMI, NI NGUMU SANA KUZIACHA

1.Kung’ata kucha.
2.Kuliza viungo vya mwili (Cracking joint) kama vidole nk.
3.Kuvuta maneno  “ummm” au “aaaaah” kila unapotaka kusema jambo. Mfano aaaah unajua… ummm sio kweli…

4.Kulamba kidole kabla ya kufanya kazi au kufungua ukurasa wa kitabu.
5.Kuchezea chezea nywele.(akina dada)
6.Kutawaliwa na mitandao ya kijamii.
7.Kuvuta wa sigara, Ugoro nk.
8.Kula ovyo, ofisini, nyumbani, njiani, Au wengine huamka usiku wa manane kula.
9.Umbea(gossiping). Kuna watu hawawezi kujizuia kutunza Siri.
10.Kujichua (Kupiga punyeto.)



0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako

Copyright © 2014 Kumi Muhimu