UNYWAJI WA TANGAWIZI- FAIDA KUMI UTAKAZOZIPATA UKIANZA KUNYWA LEO.
1.Huondoa
Harufu mbaya ya kinywa.
Tofauti na vyakula vingine kama kitunguu swaumu, tangawizi husaidia uwe na
harufu nzuri pale unapopumua na kufanya maeneo yamdomo kuwa safi
2.Msukumo
Wa Damu
Tangawizi husaidia msukumo wa damu mwilini kwasababu huupa mwili joto ambalo mara nyingi mwili huhitaji wakati wa usukumwaji wa damu mwilini.

3.Huondoa
Magonjwa ya Asubuhi
Licha ya kuwa tiba ya magonjwa kama Kikohozi na Mafua, Tangawizi pia husaidia kupunguza magonjwa ya asubuhi kama uchovu, na mning’inio. Kwa akina mama wajawazito, Tangawizi huwapunguzia homa za asubuhi pindi wanapoamka, pia hutumika kama kichocheo cha utulivu.

4.Mfumo
wa Chakula
Husaidia mwili kunyonya virutubisho kwenye chakula. Hii husaidiana sana pale unapoamua kupunguza uzito wa mwili na kupata virutubisho vilivyo muhimu tu.

5.Kurekebisha
Sukari ya Mwili
Tangawizi husaidia katika kuweka sawa kiwango cha sukari kwenye damu. Wagonjwa wa Kisukari wanashauriwa kutumia Tangawizi badala ya chai.

6.Hamu
Ya Kula (appetizer)
Huongeza hamu ya kula chakula. Kwa wale wenye mfumo mbaya wa umeng’enyaji wa chakula wanashauriwa kutumia tangawizi ili kupata mfumo mzuri wa mmeng’enyo wa chakula.

7.Uzalishaji
wa MateTangawizi
Unywaji wa Tangawizi husaidia uzalishaji wa mate mdomoni. Kuongezeka kwa mate mdomoni husaidia kutengeneza vichocheo Muhimu vinavyosaidia wakati wa kula, na hupunguza pia uwezekano wa magonjwa ya meno.

8.Kuyeyusha
Mafuta
Tangawizi husaidia kupunguza Kuganda kwa mafuta mwilini ambayo yana madhara makubwa mwilini. Hasa magonjwa ya kiharusi na shinikizo la damu.

9.Kuondoa
Sumu Mwilini
Tangawizi husaidia kupunguza kichefuchefu na kutapika. Pia huwasadia sana wale watu waliotumia sana madawa na kuwa na sumu nyingi mwilini.

10.Tangawizi Pia humsaidia mtu mwenye vidonda vya
tumbo kwa kupunguza maumivu na hata kuponya vidonda hivyo kama vitakuwa kwenye
hatua ya awali sana!.
nzuri
ReplyDeleteSafi somo zuri Sana nimejifunza
ReplyDeleteI like it
DeleteNdaga fijooo
ReplyDeleteThanx for a nice class,,hope everyone learn something here,,and will implement after
DeleteAsanteee..nimeongeza kitu hapa
ReplyDeleteThus gud
ReplyDeleteNzuri
ReplyDelete