UNAMJUA VIZURI IDI AMINI WA UGANDA? SOMA MAMBO HAYA 10 UBAKI MDOMO WAZI!
2.alijichagua kuwa Raisi wa Uganda kwa mapinduzi ya kijeshi,
na waganda wengi walimchukulia kuwa ni shujaa kwa kumuondoa raisi walieona “anasuasua”
Milton Obote mwaka 1971.
3.Aliua watu zaidi ya laki tatu (300,000) kwa kipindi cha
miaka 8 aliyokuwepo madarakani kabla ya Kung’olewa na Majeshi ya kitanzania
mwaka 1979 baada ya kutaka kuteka sehemu ya Tanzania.
4.Aliwatimua raia wote wenye asili ya Kihindi nchini kwake
na kutaifisha mali zao zote.
5.alijipa vyeo kibao na kujiita Field Marshall Al Hadj Doctor
Idi Amin Dada!
6.Inasemekana alimtumia malkia wa uingereza Elizibeth II barua
za kimapenzi akimuomba amuoe ili aweze kujiita mfalme kwani alikuwa ameshajipa
vyeo vyote kasoro “King” Yaani mfalme.
7.Ana watoto zaidi ya 40 huku akiwa ameoa wake 6. Mmoja wa
wake zake alikutwa ameuawa kinyama baada ya kupata ujauzito na mtu mwingine.
8.Vyombo kadhaa vya Habari vimekuwa vikimuhusisha na ulaji
wa nyama za watu hasa maadui zake aliowaua.
9.Licha ya Ukatili dhidi ya binadamu, Idi amin hajawahi
kufikishwa mahakaman mpaka anakufa mwaka 2003 na kuzikwa nchini Saudi Arabia
alikokuwa akiishi uhamishoni.
10. Hajawahi kuandika popote historia ya maisha yake wala
kuruhusu mtu yeyote Yule kuandika kuhusu maisha yake!
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako