4.Unakuwa
na furaha zaidi ukiwa na rafiki wa mpenzi wako mnapokuwa mnaongea, kucheza,
utani nk kuliko mwenza wako. Au mpenzi wako anafuraha zaidi akiwa na marafiki
zako kuliko wewe anza kuwa makini.
5.Kama wazo
la kuendelea kuwa pamoja linaondoka kichwani kwako kutokana na sababu moja
amanyingine kuna uwezekano wa mahusiano hayo kuelekea mwishoni.
6.Kama
hakuna mawasiliano ya mara kwa mara mara nyingine siku kupita bila kuwasiliana
na mpenzi wako bila sababu ya msingi, na uwezo wa kuwasiliana upon a hakuna
anayeshangaa jua hapo kuna tatizo. Kila mkiwasiliana ni Ugonvi tu! Kuna dalili za kuachana na mpenzi wako
7.Ukiona
unahitaji kubadilika kutoka kwenye uhalisia uliokuwa nao mwanzo ili kumfanya
mwenza wako kuwa furaha, ujue kuna jambo haliko sawa!
8.Kama
utajikuta wewe ni mtu wa kusikitika na kulia kila siku kuhusiana na mahusiano
yako basi jua uko katika mahusiano yasiyo sahihi. Kila mtu ana nafasi sawa ya
kuwa na furaha duniani.
9. Mnakutana
tu siku ya kujamiiana, au hamfanyi tena
mapenzi ukulinganisha na zamani na
mmeridhika na hilo, kuna dalili za kuachana.
10.Kama
mwenza wako anaficha sana simu yake na hataki kabisa ushike, na Ukishika
anakupa sababu ya dharula, ama pengine hamuaminiani kabisa! ujue kuna kitu
kimejificha hapo!
Somo lime elewekaa mkuu
ReplyDeleteNdiyo Asante sana kwa kutuelimisha
ReplyDelete