4.Huwezi kutumia mikono yako (huwezi kufanya kazi ndogo ndogo kama kubadilisha taa iliyoungua, tairi la gari, Huko tayari kuchafuka na huwezi kufanya kazi ndogondogo za kiume)
5. Unakunywa pombe kupindukia na unaishia kuweka mipango ya kimaisha isiyokamilika. Na huujali mwili wako!
6.Unamsema vibaya mbele ya watu. Na kila mara mna ugomvi
usiomalizika
7.Siku zote wewe ndio wa mwisho mbele ya wanaume wenzio. Pengine
wewe ni mnyonge kupitiliza, au unamuaibisha kwani kila mwanaume anaonekana ana
ubora, mkakamavu, anachapa kazi kuliko wewe.
8.Kila siku huna hela na hujui utapata lini.
9.Hubadiliki! una aina moja tu ya maisha, mapenzi yenu
hayana vitu vipya wala ubunifu.
10. Unamtambulisha mno kwa marafiki wa kike kuliko wa kiume
(au ndugu wakiki kuliko wa kiume)
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako