UNALIPENDA NENO “MAFANIKIO??” SOMA NUKUU HIZI 10 KWANZA ZA WALIOFANIKIWA DUNIANI
1.”The only
place where success comes before work is in the dictionary”. Vidal Sassoon
-Sehemu pekee ambapo neno Mafanikio huja kabla ya Kazi, ni kwenye kamusi ya Kiingereza!
2. “Every
day I get up and look through the Forbes list of the richest people in the
world, If I’m not there, I go to work”. Vinnie
Rege
-Kila siku nikiona jina langu halipo kwenye ukurasa wa watu matajiri zaidi duniani, naenda kuchapa kazi
3. “A
friendship founded on business is a good deal better than a business founded on
friendship.” John D. Rockefeller
4. .
“Success is liking yourself, liking what you do, and liking how you do
it.” Maya Angelou
-Mafanikio ni kujipenda wewe, kupenda unachokifanya tena kwa namna unavyokifanya
5. “If you don’t have a competitive advantage, don’t compete.” Jack Welch
-Kama huna Kitu chochote cha kipekee Usishindane!
6. Impossible is just a big word thrown around by small men who find
it easier to live in the world they've been given than to explore the power
they have to change it. Impossible is not a fact. It's an opinion.
-"Haiwezekani" ni neno lililosambazwa na watu wachache walioridhika na namna wanavyoishi bila kutambua uwezo walionao kuibadili dunia wanayoishi. Neno "Haiwezekani" ni wazo tu, halina uzito wala kweli yoyote!
7. While most are dreaming of success, winners wake-up and work hard
to achieve it.
-wakati wengi wakiwa bado wanaotandoto za mafanikio, Washindi huamka na kufanya kazi kwa bidii kutimiza ndoto hizo.
8. If opportunity doesn't knock, build a door.
-Ukiona Fursa hazigongi mlangon kwako, ujue pengine huna mlango, Jenga mlango!
9. “Greatness is not achieved by never falling but by rising each
time we fall.” – Confucius
-Mafanikio makubwa hayafikiwi kwa kutokuanguka/kushindwa, bali ni kusimama kila tuangukapo
10. “Don’t wait until everything is just right. It will never be
perfect. There will always be challenges, obstacles and less than perfect
conditions. So what. Get started now. With each step you take, you will grow
stronger and stronger, more and more skilled, more and more self-confident and
more and more successful.”
-Usisubiri mpaka kila kitu kiwe sawa kwa asilimia 100 ndo uanze kutimiza lengo lako, siku zote kutakuwa na changamoto na vikwazo. Unachotakiwa kufanya ni kuanza sasa kutimiza lengo lako na utajikuta kila hatua unayopiga, unakuza utashi, nguvu zako, na kujikuta ukijiamini zaidi na kuwa na mafanikio zaidi!
The Education we get from these articles change peole attitudes and perception to bring right development in our community we live so people are advised to read it.
ReplyDeleteWe are supposed to advise one to another to ready more messages.
ReplyDeleteHiyo nzurii
ReplyDelete