UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME-TABIA KUMI ZA KUZIEPUKA.

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME-TABIA KUMI ZA KUZIEPUKA.

1.Kuvaa nguo za ndani za kubana ambazo husababisha viungo vyako vya uzazi kubanwa na kuwa kwenye hali ya joto ambalo si zuri kwa ustawi na uwezo wa nguvu zako.

2.Epuka Kufanya kazi za Kukaa kwa muda mrefu ambazo hufanya viungo vya uzazi kuwa kwenye hali ya ujoto na kuathiri nguvu zako za uzazi.

3.Kupenda kumeza dawa kila unapojisikia vibaya bila ushauri wowote wa daktari.

4.Kukaa maeneo yenye joto kali, kuweka  laptop mapajani  inayotoa joto kali, kukaa kwenye maji moto kwa muda mrefu na mara kwa mara. Hii hujumuisha kuoga mara kadhaa kwa siku kwa kutumia maji moto  na sauna.

5.Kufanya mazoezi kupita kawaida, na kuendesha baiskeli kwa muda mrefu.

6.Kuvuta sigara, na kunywa pombe kupita kiasi.

7.Kuongea na Simu kwa muda Mrefu. Miale ya simu inasemekana kuchangia uharibifu wa nguvu za kiume hasa kwa mtu anaeongea na simu kwa muda mrefu.

8. Kutokuwa na furaha na kukubali kuwa na msongo wa mawazo na kukasirika.

9.Kuangalia TV Muda mrefu na kuwa “couch potato” yaani kushinda umekaa sebuleni siku nzima.

10.Uzito kupindukia


0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako

Copyright © 2014 Kumi Muhimu