WAZIJUA LUGHA 10 ZENYE WAZUGUMZAJI WENGI ZAIDI DUNIANI?
1.Mandarian (Jamii ya Ki china). Ni lugha mama ya zaidi ya
watu milioni 900.
2.Kiingereza. Lugha mama ya watu 335 milioni, na ni lugha ya
pili kwa watu milioni 500 duniani kote
3.Kihisponiola.(Spanish) inawazungumzaji milioni 400 duniani
kote
4.Kihindi. kinazungumzwa na watu milioni 295 dunia nzima
5.Kiarabu.kinawazungumzaji milioni 280 dunia nzima
6.Kibengali. Ni lugha inayozungumzwa na watu milioni 240
Duniani.
7.Kireno. Wazungumzaji 204 duniani
8.Kirusi. Wazungumzaji 160 milioni.
9.kijapani. Wazungumzaji 127 milioni.
10.Kifaransa.Wazungumzaji 75 milioni. (Lugha mama). Na zaidi ya
wazungumzaji milioni mia moja (Lugha ya pili)
mmmmmmmh...aisee, fanyeni utafiti tena
ReplyDeleteJe lugha haya ni ya kimataifa?
ReplyDelete