LAZIMA HUWA UNAFANYA MOJA YA VITU HIVI UNAPOHISI HAKUNA ANAYEKUONA!
1.Kunusa baadhi ya maeneo ya mwili wako kuona kama yanatoa
harufu!, mara nyingine unajikuna kisha unapeleka mkono puani kuona ni harufu
gani utaskia.
2. Kuigiza kama unafanyiwa interview. Unajiuliza maswali
kadhaa na kujijibu kwa kujiamin huku unatabasamu kana kwamba kuna mtu anakuona.
3. Kutoa uchafu puani kwa kutumia kidole kwa dakika kadhaa,
na mtu akitokea ghafla, unajidai unakuna shavu!
4.Kula haraka haraka kwa kificho (tunda, kitafunwa nk)
ofisini, nyuma ya mlango nk na kujifuta mdomo ili asigundue mtu!
5. Kutengeneza Sura mbalimbali mbele ya kioo na kuangalia
unaonekanaje!
6 Kutoa Hewa chafu kwa sauti (Farting Loud). Hii hairuhusiwi
kwenye jamii yetu!
7.Kutoa Haja ndogo wakati wa kuoga
8 Kufanya baadhi ya vitu kwa kutumia miguu badala ya mikono!
Kufunga mlango au Kuokota vitu kwa kutumia vidole vya mguuni
9. Kula paketi nzima ya chakula Fulani ambayo pengine
ungekula kwa siku kadhaa taratibu
10. Tuambie ni nini huwa unafanya ukiwa mwenyewe hapo chini
soma pia
>>Ujinga-ambao-kila-mtu-huufanya-ikiwemo.wewe<<
>>Majibu-kumi-yatakayokuvunja-mbavu.ukimshtua mtu aliyelala<<
soma pia
>>Ujinga-ambao-kila-mtu-huufanya-ikiwemo.wewe<<
>>Majibu-kumi-yatakayokuvunja-mbavu.ukimshtua mtu aliyelala<<
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako