ULIYAJUA HAYA KUHUSU BARACK OBAMA?
1. Aliwahi kukubali kwamba alishawahi kujaribu kutumia
cocaine na marijuana akiwa kijana
2. Kila siku usiku, huwasomea wanae Vitabu vya hadithi. Amesoma Vitabu vyote vya harrypotter pamoja na
mwanae malia
3.Alimuahidi mkewe ataacha kuvuta sigara akipata urais
lakini aliendelea mpaka mwaka 2010 alipotangaza kuacha sigara
4. Hupenda kusikiliza muziki anapofanya kazi. Humsikiliza
sana Jay z na steve wonder na huchat na msanii jay z
5. Hunyoa nywele zake mara moja kila wiki kwa dola 21. Kinyozi
wake anaitwa Zariff
6. Ana uwezo wa kunyanyua uzito wa kilo Kilo 100 akiwa
kwenye mazoezi! (usilete fujo mbele yake)
7.Kati ya vitu vinavyomuudhi zaidi, anachukia sana akiona
mtu amevaa suruali chini ya kiuno (mlegezo) na kuonyesha nguo zake za ndani
8. Akiwa chuo cha havard aliwahi kuomba picha yake ionekane
kwenye kalenda ya shule lakini ilishindikana kwan wanawake wote waliokuwepo
kwenye kamati waliipinga picha yake (pengine wanajuta sasahivi)
9.Alishawahi kula nyama ya mbwa, nyoka na panzi akiwa Indonesia
alikokulia.
10. licha ya kupenda mpira wa kikapu, Obama anamiliki pea
moja ya gloves za ndondi zilizosainiwa na Mohammed ally