JIULIZE MASWALI HAYA 10 KWANZA KABLA YA KUAMUA KUACHANA NA MPENZI WAKO.
1.Swali la kwanza ni, Kwanini ulikuwa nae
kwa kipindi hicho chote? Ni kipi kilikuvutia kwake? Je bado kipo?
2. Je ni hasira? Kama ndio basi upe muda
ubongo wako urudi katika hali ya kawaida ndipo utoe maamuzi
3. Maisha yangu yataathirika kwa kiasi gani
bila yeye?
4. Kuna yeyote anayekushawishi Kufanya
hivi?
5 .Je Umefanya kila uwezalo kwa ajili ya
mpenzi wako?
6. Je tatizo langu ni dogo au kubwa?
8. Je uko kwenye uhusiano sababu ya muda tu
au vitegauchumi mlivyoviweka pamoja?
9. Mabaya yake ni mengi kuliko mazuri?
10 Je Watu wanaowazunguka wanalifikiriaje
suala lenu?