SMARTPHONES KUMI BORA ZAIDI MWAKA 2014
Nani asiyezijua Smartphones? Kwa ufupi hizi ni aina ya simu za kisasa zenye uwezo wa kufanya asilimia 90 (90%) ya uwezo wa kompyuta na kufanya vingine kadhaa ambavyo computer haiwezi! Ukiwa na smartphone unaweza kuingia kwenye internet kwa urahisi zaidi, kutuma barua pepe, kutuma picha, video, muziki nk. Kwa ulimwengu wa sasa ubora wa smartphone huangaliwa kwa kutaja vitu kama ubora wa camera, Ukubwa wa kioo cha kuonesha (display), uwezo wa kukaa na chaji, ukubwa wa memory, na muonekano wake kiujumla!
Video ifuatayo itakuonesha aina kumi ya smartphone bora zaidi kwa mwaka 2014!