MAAJABU 10 YA MANENO HAYA KUMI YA KIINGEREZA
1.”Almost”
Ndilo neno refu zaidi la kiingereza ambalo kila herufi imetokea mara moja, yaani hakuna
herufi iliyo jirudia
2.”Rhythm”
Ndilo neno refu zaidi la kiingereza lisilo
na irabi (a, e, i, o, u) hata moja
3.”The quick brown fox jumps over a lazy dog”
Ndiyo sentensi Pekee ya kiingereza inayobeba herufi zote 26
za kiingereza.
4. “Are you as bored as I am”
Ndio Sentensi pekee ya kiingereza inayoweza
kusomwa kinyume na ikaleta maana
5. “Swims”
Ni neno refu zaidi la kiingereza ambalo
hata ukiligeuza juu chini, bado litasomeka hivyo hivyo
6. Neno “listen” na neno “silent”
yana herufi sawa
7. ” pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosis'”
Ndilo neno refu zaidi kwenye lugha ya
kiingereza! Ni jina ugonjwa wa mapafu
unaosababishwa na vumbi
8. “set”
Ndilo neno lenye maana nyingi zaidi katika
maneno yote ya kiingereza
9. Ni maneno mawili tu ya kiingereza
yanayoishia na –ngry.. Hungry na angry
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako