UNAYAKUMBUKA MATUKIO HAYA 10 YA KOMBE LA DUNIA? USIPITWE, CHEKI VIDEO HIZI!
1. Zinedine "iron head" Zidane (2006)Ni tukio lilioacha gumzo kubwa, pengine ndilo litakalokumbukwa zaidi katika fainali hizo baada ya Zidane kumpiga kichwa marco materrazibaada ya kurushiana maneno ya hapa na pale!
2. Diego "mkono wa Mungu" Maradona
(1986)Ilikuwa ni Mechi kati ya argentina na Uingereza hapo ndipo maradona anapokumbukwa sana baada ya kufunga goli kwa mkono na refa kutoka afrika kulikubali. baadae maradona aliifungia timu yake goli la ushindi na kusonga mbele.
3.Luis "Mkono wa Mungu II" Suarez (2010)Hakuna namna waafrika wataweza kumsamehe suarez (labda mashabiki wa liverpool) kwa kitendo chake cha kuzuia mpira kwa mikono uliokuwa unaingia nyavuni. Kwa nchi yake alionekana Shujaa kwani Uruguay ndio walioibuka kidedea licha ya suarez kupewa kadi nyekundu!
4. Papa Diop 1 vs france 0 (2002)Wakiwa mabingwa watetezi, Ufaransa walipewa mshtuko mkubwa baada ya kufungwa goli moja bila majibu katika mechi yao ya ufunguzi!
5.Ronaldinho Vs England
Shabiki yeyote wa England hatakaa asahau goli hili la kombe la dunia mwaka 2002 ambapo dinho alifunga goli kwa mpira wa adhabu na kumuacha kipa akigaragara. dakika kadhaa baadae ronaldinho alitolewa nje kwa kadi nyekundu kwa mchezo mchafu.
6. Fainali yenye Rafu 47 Hispania vs Uholanzi mwaka 2010
7.Goli la Lampard lilokataliwa England Vs Ujerumani (2010)
8.Kadi nyekundu ya wayne rooney mwaka 2006. Ronaldo akimshawishi refa atoe kadi hiyo
9. Italia 2 ujerumani (wenyeji) 0. Magoli ya dakika za lala salama katika muda wa nyongeza (2006)
10. John Terry aokoa goli kwa namna ya ajabu!