PICHA KUMI (10) ZA SOKO LA KARUME LIKITEKETEA KWA MOTO NA HALI ILIVYO SASA

PICHA KUMI (10) ZA SOKO LA KARUME LIKITEKETEA KWA MOTO NA HALI ILIVYO SASA

Soko maarufu zaidi la mitumba lililoko maeneo ya Mchikichini maarufu kwa jina la Soko la Karume, limeteketea Kwa Moto usiku wa kuamkia leo na kuteketeza mali zote sokoni hapo. Chanzo cha moto huo hasa hakijajulikana lakini inasemekana ni moto uliotoka kwenye moja ya vibanda  vya mama lishe uliosambaa kwenye mabanda ya pembeni na baadae kushika kasi. Kikosi cha Zimamoto walifika eneo la tukio lakini hawakuweza kufanya lolote kwani moto huo ulikuwa mkali sana kuzidi vifaa walivyokuwa navyo.

Hizi ni baadhi ya picha zilizopigwa wakati soko hilo likiteketea na hali ilivyo sasa

1.


2.

3.


4.


5.


Hali ilivyo sasa

1.


2.



 3.


4.




5.





Copyright © 2014 Kumi Muhimu