MAMBO 10 YAKUSHANGAZA KUHUSU WATU WANAOTUMIA MKONO WA KUSHOTO
Watu maarufu
1.Mtu maarufu zaidi Duniani Barack Obama na Bill
Clinton raisi wa zamani wa Marekani
2. Tajiri wa Dunia Bill Gates
3. Mwanamke mwenye mafanikio zaidi duniani
Oprah Wilfrey
4. Mfalme wa hiphop duniani Eminem
5. Msanii mwenye wafuasi wa kike wengi
zaidi duniani Justin Beiber hutumia Kushoto Pia
6.Rafael Nadal Mkali wa Tennis hutumia
mkono wa kushoto
7. Wanasoka Lionel Messi, Maradona, Ryan Giggs robin
van Persie, ribery na wengine wengi.
8.
Muigizaji Maarufu zaidi wa Kike Hollywood Angelina Jolie
9. Lady gaga anatumia mkono wa kushoto
10. Mabondia Mike Tyson, Manny Pacquiao, na Oscar De La Hoya wanatumia mkono wa
Kushoto
Maajabu Yao
1.Kucha zao za kushoto hukua kwa haraka zaidi ya zile za kulia
2.Wana uwezo wa kufanya kazi za kibunifu zaidi kiliko wenye mkono wa
kulia
3.Huchora maumbo yanayogeukia upande wa kulia
4. Hutumia zaidi upande wa kulia wa ubongo, na wengi wao hupenda pombe
kwani pombe huchukua muda mrefu zaidi kuathiri upande wa Kulia wa Kichwa Kuliko
Kushoto
5. Wanauwezo zaidi wa kufikiria. Huwa na uwezo wa kufanya kazi mbili kwa
wakati mmoja (multitasking).
6. Hupona ugonjwa wa kiharusi(stroke) kwa haraka zaidi
7.Huchelewa Zaidi kubalehe kulinganisha na watoto wanaotumia mkono wa kulia
8.Asilimia 80 ya watu hawa huwa jinsia ya kiume.
9. Watu saba kati ya kumi wanaotumia mkono wa kushoto, huwa na “allergy” ya kitu angalau kimoja
10. Hufariki mapema zaidi kuliko watu wanaotumia mkono wa kulia (miaka
9-10 kabla)