KWA WANAUME TU! MAKOSA HAYA 10 YA UVAAJI YATAKUSHUSHIA "CV" YAKO. YAEPUKE!
2.Kuruka Ruksi wakati wa kuvaa mkanda. Daima
hakikisha mkanda wako umepita kwenye ruksi husika kabla hujatoka nyumbani
3.kuvaa Soksi tofauti/zilizochakaa au
kutovaa kabisa Licha ya kuonekana nadhifu kwa nje
4.kutokubeba kitambaa matokeo yake unapiga
chafya na kujifutia mikono, kasha kwenye nguo!
5.kujaza vitu mifukoni matokeo yake mifuko
inatuna
7Kuvaa nguo bila ya kunyoosha
8. Shati Kubwa-Suruali ya kubana mpaka
inaacha “mali” yako yote nje, au Shati
la kubana-Suruali kubwa!
9. rangi ya t-shirt ya ndani kuwa na rangi
ya tofauti kabisa na shati ya nje! Mbaya zaidi t-shirt inang’aa na shati
linaangaza
10.Kuchomekea kwenye nguo ya ndani ukidhani
umechomekea kwenye suruari!
Pia kuchomekea t-shirt inamfanya mtu aonekane mshamba kabisa wa kuvaa
ReplyDelete