MAMBO KUMI TUNAYOJIDANGANYA KILA SIKU (UNAHITAJI KUBADILIKA)
1.Ningeweza
kufanya kama Ningekuwa na pesa
Japokuwa asilimia kubwa ya sentensi nyingi zinazoanzia na hilo neno hapo juu huwa kweli,
(mfano: ningekuwa na fedha ningenunua kisiwa nikae huko na familia yangu) lakini Muda mwingi watu wengi tumekuwa tunasingizia kukosa fedha hata kama hatukutimiza wajibu wetu!
Wengi huamini fedha ndio kila kitu katika
maisha yao. Hata kama wangekuwa na uwezo wa kufanya suala Fulani bila ya fedha,
huliacha bila hata ya kujaribu na kuona
haliwezekani bila ya fedha!
“Money without brains is always dangerous”
2.Siwezi Kuishi Bila Yeye
Inaweza kuonekana ni ngumu lakini kila binadamu ameumbwa akiwa na utashi wake, na ukamilifu wa kuweza kuyaendesha maisha yake. Kinacholeta tofauti hapo ni namna gani umeuzoeza mwili/ mawazo yako kumtegemea mtu Fulani. Japokuwa siku zote tunaogopa
kumkosa mtu huyo, cha ajabu ni kwamba,
tunapomkosa tunakaa muda flani tu na kusahau yote licha ya kuvunjika moyo hapo
kabla, na kuhisi moyo wako umenyofolewa kitu ambacho hakitarudi tena.
3. Nimeshazeeka Siwezi kufanya hili/ Umri wangu Bado!
Kwa utafiti mdogo, Nimegundua kuwa waafrika wengi husubiri wafike miaka 30 ndipo waanze kuvaa majukumu mengi (mfano Kuwa na familia, kujenga, kununua ardhi, usafiri nk) Na je umegundua kwamba wakifika umri wa miaka 40 hujiona wazee na kukata tama na kutojihusisha na kujifunza vitu vipya? “mambo ya vijana hayo” Na watu wengi wenye miaka
zaidi ya 50 hujiona wamechelewa na teknolojia imeshawapita, kumbe maisha
yamerahisishwa! Kama uliweza kujifunza mambo mengi magumu ambayo mpaka
unajisifu kwamba vijana wengi wa sasahivi hawayawezi, kwa nini uogope kujifunza
kutumia kompyuta, mitandao au simu za kisasa? Hujachelewa anza sasa!
Japokuwa asilimia kubwa ya sentensi nyingi zinazoanzia na hilo neno hapo juu huwa kweli,
(mfano: ningekuwa na fedha ningenunua kisiwa nikae huko na familia yangu) lakini Muda mwingi watu wengi tumekuwa tunasingizia kukosa fedha hata kama hatukutimiza wajibu wetu!
“Money without brains is always dangerous”
Inaweza kuonekana ni ngumu lakini kila binadamu ameumbwa akiwa na utashi wake, na ukamilifu wa kuweza kuyaendesha maisha yake. Kinacholeta tofauti hapo ni namna gani umeuzoeza mwili/ mawazo yako kumtegemea mtu Fulani.
Kwa utafiti mdogo, Nimegundua kuwa waafrika wengi husubiri wafike miaka 30 ndipo waanze kuvaa majukumu mengi (mfano Kuwa na familia, kujenga, kununua ardhi, usafiri nk) Na je umegundua kwamba wakifika umri wa miaka 40 hujiona wazee na kukata tama na kutojihusisha na kujifunza vitu vipya? “mambo ya vijana hayo”
5.Laiti ningekuwa na muda ninge…
Pengine unayawaza haya huku umekaa sebuleni, ni asubuhi na bado unanguo za kulalia, unaangalia darini ukiwaza ungekuwa na muda ungefanya moja, mbili, tatu! Mara Nyingi Tumekuwa Tukipoteza Muda wetu mwingi Tukiandaa orodha ya mambo ambayo Tungeyafanya kama tungekuwa na Muda!
6.Mimi naliweza hili sio
lile (am good at this, not that!)
Pengine Kwa kuogopa Kudhubutu Wengi wetu Huamini kwamba uwezo wetu ni katika mambo kadhaa tu, na aina Fulani ya majukumu ni kwa ajili ya watu Fulani. Na mimi naweza kitu Fulani mpaka awepo mtu Fulani!
Pengine unayawaza haya huku umekaa sebuleni, ni asubuhi na bado unanguo za kulalia, unaangalia darini ukiwaza ungekuwa na muda ungefanya moja, mbili, tatu! Mara Nyingi Tumekuwa Tukipoteza Muda wetu mwingi Tukiandaa orodha ya mambo ambayo Tungeyafanya kama tungekuwa na Muda!
Pengine Kwa kuogopa Kudhubutu Wengi wetu Huamini kwamba uwezo wetu ni katika mambo kadhaa tu, na aina Fulani ya majukumu ni kwa ajili ya watu Fulani. Na mimi naweza kitu Fulani mpaka awepo mtu Fulani!
Hakuna neno la uongo kama neno “kesho” wengi wetu huwa wavivu na kujipa moyo kwa kuwa tu kuna kesho! Tutaacha viporo vya kazi, masomo n kusahau kwamba kesho bora ni ile itakayozalisha kitu chake na si itakayofanya mambo ya leo!
8. Kuhisi Mapungufu yetu
tunayajua wenyewe!
Wajua mtu wako wa karibu sana anayajua mapungufu yako pengine kuliko wewe? Wengi wetu huwa tunajiona tuko sawa upande Fulani na kuhisi mapungufu yetu tunayajua wenyewe! Hii husababisha kutokukubali kama tumekosea na kwamba tunamapungufu katika hilo!. Ukweli ni kwamba, ukiona mtu
zaidi ya mmoja anakueleza juu ya tatizo lako Fulani, hata kama unajihisi huna
tatizo upande huo, jaribu kubadilika!
Wajua mtu wako wa karibu sana anayajua mapungufu yako pengine kuliko wewe? Wengi wetu huwa tunajiona tuko sawa upande Fulani na kuhisi mapungufu yetu tunayajua wenyewe! Hii husababisha kutokukubali kama tumekosea na kwamba tunamapungufu katika hilo!.
9. NAJUA NINACHOKIFANYA!!
10. Sio Hadhi yangu!
Pengine kwa kuhisi unamapungufu Fulani basi huwezi hata kujaribu kufanya jambo Fulani au una uwezo Fulani basi kwa hili sio hadhi yangu, wanastahili hadhi ya chini sio mimi.!
Pengine kwa kuhisi unamapungufu Fulani basi huwezi hata kujaribu kufanya jambo Fulani au una uwezo Fulani basi kwa hili sio hadhi yangu, wanastahili hadhi ya chini sio mimi.!
SI
KWELI. BADILIKA
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako