KWA MWENYE AKILI TIMAMU LAZIMA UJIULIZE MASWALI HAYA KUMI KABLA SIKU HAIJAISHA
1.Je, leo nina nafuu yoyote kuliko jana? Kama ipo ni ipi?
2. Ni Kitu gani kipya nimejifunza leo?kama hakuna basi soma
hata kitabu ukurasa mmoja.
3. Kuna maamuzi yapi mapya au chaguzi zipi nimefanya kuboresha maisha yangu?
4.Kuna chochote nimefanya kwa ajili ya mtu mwingine au dunia
kwa ujumla. Kumbuka sio kila zuri unalofanya lazima likufaidishe wewe au ndugu
yako moja kwa moja, bali mazuri yaw engine ndiyo yatakayokunufaisha wewe na
jamii yako.
5. Je, nimemuudhi nani leo? Au pengine
nimekwaruzana na nani? Na je nini hatma yake?
nimekwaruzana na nani? Na je nini hatma yake?
6. Je, nini umekifanya kwa ajili ya kesho?
7.Umetimiza kiasi gani mipango uliyojiwekea hapo kabla?
8. Nitafanya nini Kesho ili Kurekebisha nilipokosea leo?
9. Je , nimeonesha upendo kiasi gani kwa familia yangu kwa
ujumla? mzazi, mke, mume, watoto au hata mpenzi wako.
10. Ni lipi limekuudhi zaidi na ni lipi limekufurahisha pia?