PASSWORD 10 ZINAZOIBIWA ZAIDI NA WEZI WA MTANDAONI. KAMA UNATUMIA KATI YA HIZI, BADILISHA!

PASSWORD 10 ZINAZOIBIWA ZAIDI NA WEZI WA MTANDAONI. KAMA UNATUMIA KATI YA HIZI, BADILISHA!

1.Namba
“123456”,   “12345678”, “123123”, 111111, tarehe ya kuzaliwa, 654321

2. Maneno na Namba
“123abc”, “123qwert”,  “tarehe ya kuzaliwa + Jina”,

3. Majina
“Jina lako”,  “jina la timu yako”,  mpenzi wako nk

4. Herufi
“qwert”,  abcdef, “qwertyuiop”


5. Maneno maarufu
“iloveyou”,   “F**kyou”,  “Soccer”, “welcome”,  “Princess”,  "Password"

Mengine

6.  Maneno ya dini kama  ”God”, “Allah” “JesusChrist” nk

7. Admin au Adminstrator

8. Maneno ya Matusi maarufu  (*****) J

9. Miji Mikubwa

10. Namba yako ya simu au  gari.


0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako

Copyright © 2014 Kumi Muhimu